Tangazo la Mabadiliko ya Eneo la Usaili wa Vitendo
Source: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · view on the PSRS website
Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, anawataarifu waombaji kazi wa kada za ICT OFFICER II (INSTRUCTIONAL DESIGNER) na ICT OFFICER II (AUDIO VISUAL) kuwa, kuna mabadiliko ya sehemu ya kufanyia usaili wa vitendo,usaili wa vitendo utafanyika Chuo Kikuu Mzumbe (MU) badala ya vituo vilivyotolewa awali.
Aidha, tarehe na muda wa usaili unabaki kama ulivyotolewa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
List of names
Open the official PDF and search for your name (on phone: three dots → "Find in page", on computer: Ctrl+F).
- Mabadiliko ya Eneo la Usaili wa Vitendo Oktoba,2026 Open
FoniaAjira brings these notices from the official Recruitment Secretariat website so you get them quickly. All PDFs open from the official source. If anyone asks you for money to put you on a list or give you a job, report it here.