Jumapili, 1 Novemba 2026 Mwajiri halali hatakuomba pesa ili akuajiri. Ripoti tangazo la utapeli

Bei kwa waajiri

Kutafuta kazi ni bure kwa kila mtu, daima. Waajiri wanalipia tu kama wanataka tangazo lionekane zaidi.

Tangazo la kawaida

Bure

  • Linaonekana kwenye site na Google
  • Maombi yanakufikia kwenye akaunti yako
  • Linapitiwa ndani ya saa 24
Weka tangazo

Tangazo maalum

Wasiliana nasi

  • Linakaa juu ya orodha kwa siku 14
  • Linatumwa WhatsApp Channel na Telegram
  • Alama ya "Maalum" na logo ya kampuni
Ongea nasi WhatsApp

Weka FoniaAjira kwenye simu yako

Haichukui nafasi kubwa, inafunguka hata mtandao ukiwa dhaifu, na inakuletea taarifa ya nafasi mpya.