Jumatatu, 2 Novemba 2026 · 1 nafasi mpya leo Mwajiri halali hatakuomba pesa ili akuajiri. Ripoti tangazo la utapeli
Usaili na kuitwa kazini / Matokeo ya usaili
Matokeo ya usaili · 15 Agosti 2026

Matokeo ya Usaili wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14/08/2026

Chanzo: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · tazama kwenye tovuti ya PSRS

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Orodha za majina (5)

Fungua PDF rasmi kisha tafuta jina lako (kwenye simu: vitone vitatu → "Find in page", kwenye kompyuta: Ctrl+F).

  • Research Assistant - (Industrial Engineering) Fungua
  • Technician Weighbridge II (Civil and Highway) Fungua
  • Technician Weighbridge II (Electrical) Fungua
  • Tutorial Assistant (Environmental and Waste Management) Fungua
  • Tutorial Assistant (Wildlife Management) Fungua

FoniaAjira inaleta matangazo haya kutoka tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ili uyapate kwa haraka. PDF zote zinafunguka kutoka chanzo rasmi. Mtu akikuomba pesa ili akuweke kwenye orodha au akupe kazi, ripoti hapa.

Weka FoniaAjira kwenye simu yako

Haichukui nafasi kubwa, inafunguka hata mtandao ukiwa dhaifu, na inakuletea taarifa ya nafasi mpya.