Jumatatu, 2 Novemba 2026 Mwajiri halali hatakuomba pesa ili akuajiri. Ripoti tangazo la utapeli
Usaili na kuitwa kazini / Matokeo ya usaili
Matokeo ya usaili · 1 Novemba 2026

Matokeo ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 01/11/2026

Chanzo: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · tazama kwenye tovuti ya PSRS

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Orodha ya majina

Fungua PDF rasmi kisha tafuta jina lako (kwenye simu: vitone vitatu → "Find in page", kwenye kompyuta: Ctrl+F).

  • Vocational Teacher II - Masonry and Bricklaying Fungua

FoniaAjira inaleta matangazo haya kutoka tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ili uyapate kwa haraka. PDF zote zinafunguka kutoka chanzo rasmi. Mtu akikuomba pesa ili akuweke kwenye orodha au akupe kazi, ripoti hapa.

Weka FoniaAjira kwenye simu yako

Haichukui nafasi kubwa, inafunguka hata mtandao ukiwa dhaifu, na inakuletea taarifa ya nafasi mpya.