Jumatano, 4 Novemba 2026 Mwajiri halali hatakuomba pesa ili akuajiri. Ripoti tangazo la utapeli
Usaili na kuitwa kazini / Matokeo ya usaili
Matokeo ya usaili · 3 Novemba 2026

Matokeo ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 03/11/2026

Chanzo: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · tazama kwenye tovuti ya PSRS

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Orodha za majina (21)

Fungua PDF rasmi kisha tafuta jina lako (kwenye simu: vitone vitatu → "Find in page", kwenye kompyuta: Ctrl+F).

  • Assistant Vocational Teacher – Auto Body Repair Fungua
  • Assistant Vocational Teacher - Handloom Weaving Fungua
  • Assistant Vocational Teacher II – Auto Electrical Fungua
  • Vocational Teacher II – Aquaculture and Fishing Technology Fungua
  • Vocational Teacher II – Carpentry and Joinery Fungua
  • Vocational Teacher II – Crop Production Fungua
  • Vocational Teacher II - Electronics Fungua
  • Vocational Teacher II – Fine Art and Design Fungua
  • Vocational Teacher II – Fitting and Machining Fungua
  • Vocational Teacher II – Food Science Fungua
  • Vocational Teacher II – Instrumentation and Automation Fungua
  • Vocational Teacher II – Laboratory Technology Fungua
  • Vocational Teacher II – Office Machine Maintainance Fungua
  • Vocational Teacher II – Plater Welding Fungua
  • Vocational Teacher II – Refrigeration and Air Conditioning Fungua
  • Vocational Tutor II - Civil Engineering Fungua
  • Vocational Tutor II - Computer Science Fungua
  • Vocational Tutor II – Cyber Security Fungua
  • Vocational Tutor II – Data Science Fungua
  • Vocational Tutor II - Food and Beverage Sales and Services Fungua
  • Vocational Tutor II - Room Division Fungua

FoniaAjira inaleta matangazo haya kutoka tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ili uyapate kwa haraka. PDF zote zinafunguka kutoka chanzo rasmi. Mtu akikuomba pesa ili akuweke kwenye orodha au akupe kazi, ripoti hapa.

Weka FoniaAjira kwenye simu yako

Haichukui nafasi kubwa, inafunguka hata mtandao ukiwa dhaifu, na inakuletea taarifa ya nafasi mpya.