Alhamisi, 5 Novemba 2026 Mwajiri halali hatakuomba pesa ili akuajiri. Ripoti tangazo la utapeli
Usaili na kuitwa kazini / Matokeo ya usaili
Matokeo ya usaili · 4 Novemba 2026

Matokeo ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 04/11/2026

Chanzo: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · tazama kwenye tovuti ya PSRS

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Orodha za majina (3)

Fungua PDF rasmi kisha tafuta jina lako (kwenye simu: vitone vitatu → "Find in page", kwenye kompyuta: Ctrl+F).

  • Vocational Teacher 11- Design,Sewing and Clothing Technology Fungua
  • Vocational Teacher II- Electrical Installation Fungua
  • Ass.Vocational Teacher-Motor Vehicle Mechanics Fungua

FoniaAjira inaleta matangazo haya kutoka tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ili uyapate kwa haraka. PDF zote zinafunguka kutoka chanzo rasmi. Mtu akikuomba pesa ili akuweke kwenye orodha au akupe kazi, ripoti hapa.

Weka FoniaAjira kwenye simu yako

Haichukui nafasi kubwa, inafunguka hata mtandao ukiwa dhaifu, na inakuletea taarifa ya nafasi mpya.