Walioitwa kwenye usaili · 6 Novemba 2026
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mafia
Chanzo: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · tazama kwenye tovuti ya PSRS
Orodha ya majina
Fungua PDF rasmi kisha tafuta jina lako (kwenye simu: vitone vitatu → "Find in page", kwenye kompyuta: Ctrl+F).
- Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Mafia Dc 2026 Fungua
FoniaAjira inaleta matangazo haya kutoka tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ili uyapate kwa haraka. PDF zote zinafunguka kutoka chanzo rasmi. Mtu akikuomba pesa ili akuweke kwenye orodha au akupe kazi, ripoti hapa.