Mabadiliko ya Ratiba ya Usaili kwa Kada Ambazo Usaili Wake Ulipangwa Kufanyika Tarehe 25 Agosti 2026
Chanzo: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) · tazama kwenye tovuti ya PSRS
Waombaji kazi wote wanakumbushwa kuzingatia maelekezo yote ya muhimu kamayalivyotolewa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
Orodha ya majina
Fungua PDF rasmi kisha tafuta jina lako (kwenye simu: vitone vitatu → "Find in page", kwenye kompyuta: Ctrl+F).
- Tangazo la Mabadiliko ya Tarehe za Usaili kwa Kada Zilipangiwa Usaili Tarehe 25.8.2026 Fungua
FoniaAjira inaleta matangazo haya kutoka tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ili uyapate kwa haraka. PDF zote zinafunguka kutoka chanzo rasmi. Mtu akikuomba pesa ili akuweke kwenye orodha au akupe kazi, ripoti hapa.